Wanajimu katika maeneo tofauti ya bara Afrika wameona moto wa mviringo angani wakati wa kupatwa kwa jua. Jua hupatwa wakati ambapo mwezi huwa mbali na dunia ikilinganishwa na wakati jua ...